Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilikuwa nimesoma kwa papara
Ikabidi nisome kwa umakini, na ndipo nilipokutana na statement hii "asili ya ki Asia". 😂😂
Isingekuwa hivo, aidha usingesimulia siku ya leo au ungesimulia viceversa
Hapana, 1st born my brother ana mke mzungu..

Brother yangu anayefuata kaangukia kwa mwanamke wa Egypt..

Huyo sasa na mke wake wa Asia, ndiye namfuata, kaenda kule kule kwa pua ndefu

😁😁
Nime refer huo mfano ili kujenga picha kwamba japo alikuwa mtu wa asia lakini ali vumilia, kitu ambacho hata mimi nilishangaa, nilikuwa sina maana yeyote... Which means wanawake wenye true love wapo...

So nikitolea mfano hasa masuala ya kimahusiano mostly lazima nitatolea/nita refer kwa hawa ndugu zangu , nimejifunza vingi toka kwao, so lazima nitatoa mfano wa mzungu,arab na huyo Asian, haina maana angekuwa mtz nisingesema, NO.
 
Christmas utakula huko unapounga mkono 😆😆😆😆

On a serious note though....People don't fall in love with status but they do FOLLOW status. Na ndio maana inapobadilika mtu anaondoka.
😁😁😁
Finally sababu ya kuni trim umeipata, I think upo happy sana..

Ngoja nipambane na hali yangu
🏃🏃🏃
 
Upo sawa, I agree with you🤝
 
Wanawake wa jf napenda kuwaambieni kwamba kila mtu ana urembo kwa level zake.
Lakini ukweli ni kwamba shemeji yenu ananifanya nione wanawake wengine kama wanaume
Mtoto ana figure.
Mtoto ana rangi.
Mtoto ana sura
Mtoto anajua kupika.
Mtoto ana kila sifa ya kuitwa mke wangu.
Mtoto anajua mahaba.
Weeeeee!!!! Nani humu ndani wa hizo level.
Nani mtetezi wenu humu ajitokeze.
Wanawake wa jf hamstui, nawaambieni ukweli.
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…