Haya Lizzy wangu jimwae mwae weeππMhhhh....π€π
Embu ngoja kwanza ni-digest ushauri wa kina Chakorii Saint Anne & Tinsley japo I don't agree with their perspective on the matter.
Imagine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Niambie kama ulimsukumia PM niende nikayajenge[emoji16],Wewe uje tu nyumbami umuone[emoji23][emoji23]
Konekisheni dar ina maana moja tu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]utachonga viazi.
Sio Lizzy tu hata kama ningekuwa ni mimi trust me nisingelimtaja wala kuwa na mategemeo ya kumtaja
Listen mtakatifu wangu kuna mambo lazima yabaki kuwa sirini.kuna watu humu ndan wapo ..tena wapo sanaaaa lakini hawataki kujulikana Kabisa na ukifanya kitu cha kuwafanya wajulikane Hapo hapo unawapoteza.so inabidi tujifunze kuwa na breki ya maneno..tujifunze kuto kuropoka itatusaidia pia kukutana na watu wa maana wakatupatia koneksheni za maisha
Niambie kama ulimsukumia PM niende nikayajenge[emoji16],
Isije kuwa nishamjibu vitu visivyoeleweka maana PM nakuwaga sina akili[emoji38][emoji38]
Sitabiriki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muhubiri anasema"Na pesa ni jawabu la mambo yote"Woman says... Show me your bank account and I will trust you
Nakuja kuchukua desa la Hawa watu wanaoimbisha Kila pm[emoji38]Pale ambapo unakuta mzee baba kwenye kila PM ya mrembo wa selfika, yupo anaimbisha. And he is acting single[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Namtaja muda sio mrefu. Ole wakeeee[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38]Nakupenda mtakatifu unakaubishi kako hivi hatari sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mtakatifu mwandiko wako unaonesha mtu akisema suu unayabwaga bwaaa[emoji1][emoji1]
Yes hakuna haja ya kusema unatoka na nani huo ni utoto uliopitiliza viwango
Sometimes mtu unaweza dhani upo kwenye mahusiano,.kumbe uko singo.Maonyesho si mazuri kabisa.
Kongole kwa huyo dada maana kanishinda kwa tabia[emoji16][emoji16][emoji16]lakini alikuwa sahihi kabisa maana ni boifrend huna uhakika kama. Atakuoa ama la na pengine hata mpango huo hana [emoji2296][emoji2296] Hata mimi ningesema sina waaaaaahhiii..mtu unajikuta uko kwenye mahusiano lakin hujui yanahusiana na nini kha.
Ila Lizzy tuache masihara kuna wakaka wako vizuri nyie unaweza kumla bila mboga[emoji6]kho kho kho kikohozi kimenibana sana[emoji16]
Tusimame tumsifu Bwana Mungu wa majeshi[emoji16]Nyie mbaki kufanya praise and worship makanisani [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana mdogo angu, nilikuwa nakutania tu bana.
Soma mhubiri 5:10 kwa sautiπMuhubiri anasema"Na pesa ni jawabu la mambo yote"
Mimi mwanamke ni nani hadi nisimwamini mwanaume anayemiliki majawabu ya mambo!?!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya kujiachia ni matamu sana aiseee..Mhhhh....[emoji848][emoji57]
Embu ngoja kwanza ni-digest ushauri wa kina Chakorii Saint Anne & Tinsley japo I don't agree with their perspective on the matter.
[emoji23][emoji23][emoji23]Jamani, si ni mfano tu huo lakini. [emoji23][emoji23][emoji23]