T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,088
- 30,487
Hapana usiogope na ya kutolea naimudu mkuuUtatuma na ya kutolea?
Mimi naogopa gharama ya kutolea ndiyo maana nataka niikwepe kwa kuingiza kwa wakala moja kwa moja .
Hapana usiogope na ya kutolea naimudu mkuuUtatuma na ya kutolea?
Mimi naogopa gharama ya kutolea ndiyo maana nataka niikwepe kwa kuingiza kwa wakala moja kwa moja .
Ng'wagūkū bageshi....Halafu mwanamke/wanawake wenye ndevu huwa wa...t###amu sana kunako.
Eng'washi bhageshi
Grand malt inauzwa elfu 2,Hapana usiogope na ya kutolea naimudu mkuu
Haha..Ng'wagūkū bageshi....
Tenda tundevu twingine tuko very sexy vinakupa mpaka taswira ya nywele zile zingine....[emoji16]
Dooh kwahiyo wanawake wa kinyakyusa tusio na misambwanda ndiyo basi tena [emoji2297][emoji2297][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Siwezi kumnyanyapaa mwanamke mwenye msambwanda kisa eti ana ndevu. Navaaa [emoji16]
Sawa nitaongezea na ya kutoleaGrand malt inauzwa elfu 2,
Utaongezea na ya kutolea.
mi nilifikiri unaendesha rough road so ukiona mashimo huyakwepiHahaha...na maanisha matundu/mashimo ya Gia[emoji1]
Haha...Hata kwenye barabara ya lami mashimo yapo huwa nayakwepa na mengine huwa nayalenga tu.mi nilifikiri unaendesha rough road so ukiona mashimo huyakwepi
Nichukulie,[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Oh hapo sawa.Sawa nitaongezea na ya kutolea
SawaOh hapo sawa.
Nitumie msg nikupe namba ya muamala.
Nimeshakumbuka nadaiwa songesha[emoji23]Sawa
Usijali sema unadaiwa shi ngapi songesha nikulipie deniNimeshakumbuka nadaiwa songesha[emoji23]
Itafyekwa hela yote.
Ninunulie tu grand malt uniletee mkuu.
Sasa unanilipia deni au unanipa hela ya grand malt?Usijali sema unadaiwa shi ngapi songesha nikulipie deni
Deni linakatwa then hela ya Malt inabakiSasa unanilipia deni au unanipa hela ya grand malt?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Deni linakatwa then hela ya Malt inabaki
Nkamu una ndevu? Naona ninato tuwili ameizing hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah umeshindikana wewe
Yaani hadi ndevu unazikubali kisa tu mwanamke ana msambwanda [emoji3][emoji3]