Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
A "not so" secret admirer now 😁☺😍I am your secret admirer![]()
A "not so" secret admirer now 😁☺😍I am your secret admirer![]()
Bro we msukuma?Vizuri sana kama ni njema Anne
Yesu nilishagampa maisha yangu toka siku nazaliwa mpaka sasa katika umri huu yeye pekee ananilinda na anajua hatima yangu
Hakika tumaini langu ni Yesu Pekee
Dah unanimaliza ndugu yanguNikiwa mkubwa na mimi nataka niwe kama Ninge



Mambo ya vijana yakoje baeunataka uanze kuwa na mambo ya kizee zee?
Leo macho3 yamekubali Ku log in jfkaribu asee
Unaupiga mwingi broHahah! Mambo ya kizee…..
Asante tupo pamoja kwenye 1 na 2

Ndiyo mimi ni msukumaBro we msukuma?
Lafudhi ipo hata kwenye muandiko, achilia mbali kuongea..Ndiyo mimi ni msukuma
Yeah leo nimeona nijisemee tu. I have even been secretly saving some of your photos haha.A "not so" secret admirer now![]()



Haha....kwa hiyo una maanisha kuwa mwandiko wangu ni wa kisukuma?Lafudhi ipo hata kwenye muandiko, achilia mbali kuongea..
Kwema lakini mkuu

KarmaYeah leo nimeona nijisemee tu. I have even been secretly saving some of your photos haha.
Shame on me![]()
Hahah! Mzee mwenzangu nafurahi kuona bado unawakilisha vyema ✌…. Naimani tumeelewanaDah mzee mwenzangu![]()
😂😂😂😂😂Dah unanimaliza ndugu yangu![]()
Hapana sio wa kisukuma lakini kuna sehemu umeandika nilishagampa nilipoona hivyo tu, nikajua baaasi huyu rafiki yangu..Haha....kwa hiyo una maanisha kuwa mwandiko wangu ni wa kisukuma?
We jamaa bhana
Kwema/salama kabisa mkuu
Vipi wewe kwema/mzima?
Siunajuwa kitambo nasugua bench sasa nimerudi lazima nijaribu kama bado Panenka na Rabona zinapigikaUnaupiga mwingi bro![]()
Haha...Eti nikajua bhaaasi huyu rafiki yanguHapana sio wa kisukuma lakini kuna sehemu umeandika nilishagampa nilipoona hivyo tu, nikajua baaasi huyu rafiki yangu..
Ujue wasukuma nawakubali sana, sio wachoyo kabisa hasa kwenye suala zima la vyakula, nimeishi nao kwa muda flani..
Asante sana, siku hizi kuna usafiri gani kwenda bariadi town, nikiachaga kuna baiskeli tu, halafu ile bank ya CRDB pale mjini kati ipo😁..Haha...Eti nikajua bhaaasi huyu rafiki yangu
Karibu sana Bariadi-Simiyu mkuu