Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot_20211021-193030.jpg
 
Ndo mara yangu ya kwanza hii ai swea. Uko unique sana na kila siku nilikuwa natamani kuona japo kiwiko. Siku ile niliishia kuona nguo za kazi tu. Leo angalau afadhali umejitahidi sana. Siku moja ujitahidi uondoe na hicho kitambaa kabisa...
Hahaa huwa nawekaga mara kwa mara na siku hizi nimeacha kufuta Kwahiyo kuna nyingine huko nyuma
 
Yaani nilicheka Sana.


Ni njema Elly,
Vipi umeshampa Yesu maisha yako baada ya kupo a kwenye tukio zito la ajali?
Vizuri sana kama ni njema Anne

Yesu nilishagampa maisha yangu toka siku nazaliwa mpaka sasa katika umri huu yeye pekee ananilinda na anajua hatima yangu

Hakika tumaini langu ni Yesu Pekee
 
Back
Top Bottom