Rangi adimu sana hizi anko
Lipa ubaya kwa ubaya??(No)Naomba unifundishe namna ya kuwa na roho ngumu kulipiza ubaya kwa ubaya nataka nipeleke kiama somewhere!
Naweza kuipata hiyo chupa ya rangi ya kijani chap kwa haraka?
Haswaaa , karibu sanaNaweza kuipata hiyo chupa ya rangi ya kijani chap kwa haraka?
Ni wapi hapo?Kumbe hapa unafikaga ,tupeane mwaliko siku moja moja mkuu
Panaitwa FQ hotelNi wapi hapo?
Swaswa ni Dodoma hii
Asante sanaHaswaaa , karibu sana
Ipo mkoa gani?Panaitwa FQ hotel
YapSwaswa ni Dodoma hii
Dar es salaam ,karibu na AirportIpo mkoa gani?
Okay , Nina kumbukumbu tamu kuhusu huo mji.
Ohoooo oky..gudDar es salaam ,karibu na Airport
Share nami hiyo kumbukumbuOkay , Nina kumbukumbu tamu kuhusu huo mji.
😅😅😅 Siku nyingine ,na siyo kwenye public.Share nami hiyo kumbukumbu
Patamu sana , inaonekana ni sehemu nzuri kutembeleaMy ZanzibarView attachment 1813034