Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
😁😁Yaani Daddy inamaana nikiupewa anakuwa baba mkwe au ni zile Daddy za kimjini mjini, nisije nikawa nashangilia bure tu😳😳
😁😁Yaani Daddy inamaana nikiupewa anakuwa baba mkwe au ni zile Daddy za kimjini mjini, nisije nikawa nashangilia bure tu😳😳
Daaah Shimba ya Buyenze kaharibu mambo... mweee, kweli mimi sina bahati, mweee!!Sio kwa Daddy SYB.kijana kaa vizuri 😁🤣🤣
Dogo hajuiSio kwa Daddy SYB.kijana kaa vizuri![]()









Hajui huyo👊🏿👊🏿💪💪Dogo hajui
Lavu yu mai dia dota. Mungu Akutunze![]()
Ni baba mkwe mkuu wala usiwe na wasiwasi
Kuanzia leo anza kuniheshimu aisee.
Daaah, mkuu unaona sasa, sijui umetokea wapi tu, Chakorii ananibadilikia hivihivi sababu yako, mkuu tukikutana sikusalimii.. Imeisha hiyo!Sio kwa Daddy SYB.kijana kaa vizuri 😁🤣🤣
Weee usiniambie bhana.Daaah, mkuu unaona sasa, sijui umetokea wapi tu, Chakorii ananibadilikia hivihivi sababu yako, mkuu tukikutana sikusalimii.. Imeisha hiyo!
Imeisha hiyo, mi nishachukia, nini kunitamanisha halafu unanikazia..Weee usiniambie bhana.
Eti 80,000 tu
Hapo parefu sana bro japo inaonekana iko poa mno. Nina ishu sana na huu usafiri wa majini lakini hii naweza kujikaza aisee hasa kama nikidunduliza mpaka kumudu hiyo 80K. Third class sh. ngapi?
Asante sana kwa info. Zanzibar imo kwenye orodha yangu ya utalii wa ndani (japo sina uhakika kama ni nchi moja ama la!)Utafanikiwa tu mkuu, kikubwa ni nia.
Ratiba iko hivi.
Saa moja asubuhi
Saa sita na nusu
Saa kumi kamili
Kuna wakati abiria wakiwa wengi inaongezewa ya ziasa
Inaweza kuwa
Saa tano kamili
Saa nane kamili
Saa kumi na nusu.
Bei
Economy Class 25,000/-
Business Vlass 35,000/-
VIP 60,000/-
Royal Class 80,000/-
Binafsi napenda sana kukaa nje nipate upepo na kufurahia kutizama maji.

Asante sana kwa info. Zanzibar imo kwenye orodha yangu ya utalii wa ndani (japo sina uhakika kama ni nchi moja ama la!)![]()
Asante sana mkuuHautumii Passport mkuu. Uwe na NIDA tu
View attachment 1982227
View attachment 1982234
View attachment 1982236

Hivi nyie sisi tumewaambia mtutumie tu miguu yenu? Acheni mambo hayo..
Utafanikiwa tu mkuu, kikubwa ni nia.
Ratiba iko hivi.
Saa moja asubuhi
Saa sita na nusu
Saa kumi kamili
Kuna wakati abiria wakiwa wengi inaongezewa ya ziasa
Inaweza kuwa
Saa tano kamili
Saa nane kamili
Saa kumi na nusu.
Bei
Economy Class 25,000/-
Business Vlass 35,000/-
VIP 60,000/-
Royal Class 80,000/-
Binafsi napenda sana kukaa nje nipate upepo na kufurahia kutizama maji.
Leta coordinates
View attachment 1982262
Yaani kutizama boti inavyokata maji ni raha mno
Ni wewe Hornet? Nilikuwa sijui.., hivi kumbe JAMIIFORUMS tuna wadada wenye miguu mizuri hivi? Jamani mimi miguu ni ugonjwa wangu, mtaniua leo!
Naona unashangaa kama mimi nilivyoshangaa ulivyoweka bia kwenye chupa ya maji



Watu wenye ratiba zenu hamuwezi kutuelewa na PGO zetu. Mkiwa mnalalamika #bluemonday sie tumelala....mkiwa mnaringa na #tgìf mara #sundayfunday sie tunapiga mzigo 🥴🥴Haya ndio mambo. Mimi nipo available muda wote wa Lunch kuanzia saa sita mchana hadi saa nane mchana.
On weekends nipo kuanzia saa moja asubuhi hadi saa tisa mchanaSijui wewe mkuu wa PGO nakuonaga hadi Sunday unapiga mzigo.