Sure mkuu! Siku hizi binadamu wamekuwa wanyama kuliko hata wanyama wenyewe yaani siku hizi ni heri ukutane hata na simba kuliko binadamu mwenzio asiyekufahamu!
Hata mimi nilijifanya nina upendo sana nikaja kuambiwa hiyo statement nikajifanya siamini! Ila baada ya kujua kuwa siyo kila binadamu ana roho kama yako nikajifunza kitu na sina huruma na mtoto wa mtu yaani ukinifanyia ubaya nakufanyia ubaya zaidi ila ukinifanyia wema nakufanyia wema zaidi!