Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Saiv sipati tabu nikimiss kufurahisha macho nakuchungulia pahala akuuuu karoho kanatulia

Hivi naimagine ningekuwa mwanaume ningekuwaje maana napenda kuangalia wanawake wazuri wazuri tu haipiti siku sijawatafuta huko duniani niwatizame basi nifurahi
Nataka kurusha yangu kapeace dakika 0 nafuta kabla shemeji yako hajatoka job Kuja kukagua kama nimetupia maana kashanipiga mkwara mbuzi 😀😀😀😀
 
Sijapata nzuri hii ndio ipo karibu..unaweza ukachungulia lile kule nyuma... ile picha ya kwanza ni Jipe (Taveta border)
Screenshot_20191004-195537.jpeg
 
Back
Top Bottom