Mtakatifu Anna
Saint Anne Una vijibusara flaniflani, isipokuwa unakosea tu pale unapochukulia kwamba kumpa mpenzi/mchumba/mme ni maamuzi yako. Kwamba unamfanyia favor!!! Hapo sio sawa. Hata mkitwangana, mkifika kwenye 6*6 ugomvi wenu mnaancha mlangoni mnaenda kupumzika.
Ngoja nisome maandiko hahaaaaaa