Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Acha TUPole Mdogo wangu..




Nina keki hapa na box langu nikawa natoa tu macho,, Yaani nimeshangaa watu wanadandia gari kabla haijasimama
Daslam






Sent using Jamii Forums mobile app
Acha TUPole Mdogo wangu..










Kwa ulevi wa kupindukia na juice cola







Kwa ulevi wa kupindukia na juice cola
Kote nipo nawewe,nimeng'ang'ana utadhani Nashika pindo la Yesu
Sent using Jamii Forums mobile app



Box la keki tena?Acha TU
Nina keki hapa na box langu nikawa natoa tu macho,, Yaani nimeshangaa watu wanadandia gari kabla haijasimama
DaslamView attachment 1975477
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mapenzi ni upovu...




Sasa namna ya kuingia nalo kugombania daladala



almanusura nidondoshe.2 Samuel: 1- 26Oh pole sana Mtumishi.
Mwenyezi Mungu azidi kukutia nguvu katika kipindi kigumu unachokipita,,faraja Yake Mungu ipitayo zote ikufariji moyo wako .
Sorry for your loss.
Alikuwa ni nani huyo????Naomba uniambie kama hautajali.
Nikasema Baba Mtumishi kweli amekaa kimya siku zote hizi bila hata kunijulia hali Mimi Mama Mtumishi!





I feel sorry for you baba mtumishi.2 Samuel: 1- 26
"26 Nimesikitishwa sana kwa ajili yako, Yonathani ndugu yangu. Ulikuwa mpendwa wangu sana. Upendo wako kwangu ulikuwa wa ajabu, ukipita upendo wa wanawake"
Mtumishi mwenzangu,
Kumuelezea huyu ndugu, nitumie hayo maneno ya mtumishi mwenzetu Daudi alipokua akiomboleza kuondokewa na rafiki yake Jonathan.
Huyu hakua ndugu wa damu. Alikua brother & bestfriend.
Kando na familia yangu, sikumbuki kuwa connected na mtu kama yule mwamba.
Ahsante sana mtumishi mwenzangu. AMEN
Mungu anabaki kuwa Mungu, regardless![]()
nakuombea.Amen mama mtumishi. ahsante kwa maombi.I feel sorry for you baba mtumishi.
Ila Nina imani tutaonana naye Mbinguni,,
Umenikumbusha rafiki yangu mmoja jirani wa tangu utoto alipofariki,,hadi leo sijapata rafiki kama Yeye...
Baba yake huwa ananiita jina lake,maana tulikuwa kama mapacha .
Naelewa kufiwa na best friend jinsi kunavyoumiza.
Mungu akutie nguvu babanakuombea.
Selfika Kidogo baba mtumishi nafsi yangu ifurahi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmekuwa bidhaa adimu sana
Siku hizi tuna hawa wavaa makobazi na kaptula za kuchanachana

