Ugeni wa maji mapya tumboni mkuuABV ya 4.5% unakomfyuzi minyoo gani? Hayo si maji tu? [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa kweli watakua ni maeksipatiMa expert walisharuka nayo tangu inatua day one.
CC: Jack Palladino
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu mshaigundua kitambo na hamsemi😂[emoji23][emoji23][emoji23] anagundua leo daah!
Hapa tunaongelea adhabu ya jehanam! Achana na kufa!Nilimwambia mapema kila njia atakayoichagua na madhara yake.
Kwahiyo amechagua kula tunda basi awe tayari kufa,,,hilo lilikuwa wazi tangu mwanzo.
Mnataka kumlaumu MUNGU kwa kiburi chenu wenyewe?
Na alishaonya kwamba usile tunda la mti wa kati..
Hapo labda mumlaumu shetani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amen mkuu. Usipotee sana.Habari ya asubuhi humu ndani.hamjambo nyote?
BAsi ikawe Baraka kwenu na kila mmoja aguswe kwa namna ya pekee yake na Baba Yetu aliye sirini.[emoji122]
Karibuni [emoji1545]
View attachment 1975019
😁☺☺☺
Hiyo yenye chocolate deco.....ikiwa lemon/orange flavoured ntafurahi zaidi.
Weka order kabisa maana next month tu hapa mnaniimbia 🙂🙂
Sisi uwa tunapigiwa simu tuka-test kwanza ndio kiingie mtaani[emoji1666]Watu mshaigundua kitambo na hamsemi[emoji23]
malegendary[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana ndio anakunywa leo,,wakati wengine mshaizoea kitambo.
Kama una njaa wewe njoo tu tutavikusanya mkuu [emoji16]Mkuu mbona vitu vipo mbali mbali ? Hadi mboga ipo mbali [emoji1787]
Kama una njaa wewe njoo tu tutavikusanya mkuu [emoji16]
Hahaha mkemia mkuu,mwenyekiti wa vileo...Ndiyo babaSisi uwa tunapigiwa simu tuka-test kwanza ndio kiingie mtaani[emoji1666]