Selfika na JF: Snap it. Show it

Well said ,

Maana imeandikwa katika Wakolasai 3:18
Enyi wake, watiini waume zenu, kwani ndivyo apendavyo Bwana. Nanyi waume, wapendeni wake zenu, na msiwe wakali kwao.
Mithali 21:19
Afadhali kuishi jangwani kuliko kuishi na mwanamke mgomvi na mkorofi.

Mithali 21:9
Ni heri kuishi pembeni mwa paa kuliko Kuishi na mwanamke mgomvi.


Ila Biblia inachekesha sometimes


Mithali 25:24
Afadhali kukaa katika pembe ya dari kuliko kuishi nyumba moja pana na mwanamke mgomvi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…