Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwanini usingetoa hiyo Saint Anna ukampea hizo nyingine nne Ambazo zinafaa kunywa
 
Oleweni muupate ufalme wa Mbinguni jamani
 
Huyu mama kuna siku alipiga simu shuleni, School bus wanazopanda wanawe huwa zinajaa,halafu wanaambiwa wapakatane..
Aliwawashia moto
,anasema sasa hela ya usafiri natoa ya nini,,,mtoto mdogo ampakate mwenzie hamuoni kama ni hatari.
Yule Mwalimu akamwambia tunalifanyia kazi hili suala,,
Huyu mama anasema mnapoendelea kulifanyia kazi, naomba watoto wangu wasinyanyuliwe wala kupakatana na wengine

Mama anapanga hoja kama mbunge
.

Nikasema kwa style hii, mwanaume hawezi kubishana naye na akashinda.

Wamedundana wenyewe .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…