Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,149
- 28,859
Ndy nimewahi kukuona sehemu..fungua PM nikuambieUlishawahi kuniona sehemu?
Ndy nimewahi kukuona sehemu..fungua PM nikuambieUlishawahi kuniona sehemu?
PrettyMama: Hivi hamuwezi kupiga picha bila kukodoa macho?
Me: yanakodoka automatically 😂 View attachment 1973486
Nakuona,kilema mwenzangu,wanasema kilema kilichochangamkaNakuona dear![]()


Hata km Una sauti ya nne we muimbie Tu MUNGU hakuna namnaSauti tatizo 😂
Bora ningekuwa na hiyo nzito 😂 haieleweki.Sauti nzito ni nzuri zaidi kuliko nyepesi.
Nzito ina options nyingi,,keys zote inainba.. tofauti na sauti nyepesi ambayo inaimba keys za juu tu ,za chini inafeli.
Nikikumbuka yale maishaSchool life![]()

.Hivi hizi international day huwa wanazingatia nini hasa, leo ilikua ni siku ya kutovaa bra kwa wanawake,je wa humu mmevaaView attachment 1973479
am getting older 
Kumbe
Nimeona mtu kaniandikia No bra today hata sijaelewa!
am getting older
![]()

Hata km Una sauti ya nne we muimbie Tu MUNGU hakuna namna
😂😂😂Nakuona,kilema mwenzangu,wanasema kilema kilichochangamka![]()
Shemeji rubani itakuwa yupo angani![]()
Kiruuuu.Ndy nimewahi kukuona sehemu..fungua PM nikuambie
Bastola zimekudifaini... Kwamba wewe si mutu ya muchesomucheso.... Uko musuri sana...ongera sana...
Jamani
...wivu tu,
Unapenda sana story wewe 😂Nikikumbuka yale maisha
Basi tu mwanafunzi ukiwa shule unakubali kuwa mtumwa...bila hivyo aisee kuna walimu wanakera,unaweza tamani kurudishia.
Mwee ukapigwa fimbo ngapi?
Tatizo ulikata tamaa mapema sn..mbn gift ( gift money) anaimba?Siyo kila sauti ya kuimba bwana
Nakumbuka sekondari kiongozi wa kwa ya alisimamisha mazoezi baada ya kugundua sauti mvurugano(ilikuwa yangu)
Niliachana na kuimba since then
I swear..tena na Hako kadimpoz Kako kamoja,nakujua vizuri Tu,fungua pm nikupostie pic yako full ndy utaniaminiKiruuuu.
Unapenda sana story wewe![]()
3 tu. Ila za kibabe maana pale fimbo zao ni special.


Niambie eneo tuliokutania.I swear..tena na halo kadimpoz Kako kamoja,nakujua vizuri Tu,fungua pm nikupostie pic yako full ndy utaniamini
Ubungo River sideNiambie eneo tuliokutania.
Tatizo ulikata tamaa mapema sn..mbn gift ( gift money) anaimba?
Ukimwona enzi hizo pale keko na lisauti lake huwezi kuamini leo anaperform kwenye matamasha makubwa km fiesta na Wasafi fest
