Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,202
- 29,319
Wewe huyu ???Mama: Hivi hamuwezi kupiga picha bila kukodoa macho?
Me: yanakodoka automatically 😂 View attachment 1973486
Wewe huyu ???Mama: Hivi hamuwezi kupiga picha bila kukodoa macho?
Me: yanakodoka automatically 😂 View attachment 1973486
40[emoji38]Half exposed hiyo. [emoji23] Full nitapost nikifika 40yrs.
Ahhh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimejikuta nahangaika sana hapaHayakuwa yakionekana. Ila mneso [emoji23]
Unaonekana kbs ni muimba kwaya🤣Mama: Hivi hamuwezi kupiga picha bila kukodoa macho?
Me: yanakodoka automatically 😂 View attachment 1973486
Vya mneso [emoji28][emoji28]Mama: Hivi hamuwezi kupiga picha bila kukodoa macho?
Me: yanakodoka automatically [emoji23] View attachment 1973486
Anasema sasa mfano teja akikushika utamlaumu nani 😂Hapo unakuta anakazia"yaani watoto wa siku hizi mmeharibika"
Wengine fellowship zetu kuvaa bra ni makosa.. inatakiwa kuvaa shimizi.
Ulishawahi kuniona sehemu?Wewe huyu ???
🤣🤣 lala wee.Ahhh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimejikuta nahangaika sana hapa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Anasema sasa mfano teja akikushika utamlaumu nani [emoji23]
Hehhee noma sana. Me mama alikuwa ananikataza eti bra zinaharibu manyonyo. Anadai zinafanya yalale.. Nikamwambia yakiamua kulala yalale maana yatakuwa yamechoka kusimama [emoji23].
Walinifundisha kuboost si nikanogewa na bra za sponge, naboost nalegeza skafu na kakifungo kamoja wazi( nasikia raha kichizi mpaka siku nikajadakwa na afande akanipeleka kwa matron. Nilikula mboko, after there nikanunua ma spider kibao
Viwawa walining'ang'ania ila shetty akanizidi nguvu 😂 .Unaonekana kbs ni muimba kwaya🤣
Inabidi umshinde nguvu shetani sasa kwa kuamua kwenda kumuimbia Mungu.Viwawa walining'ang'ania ila shetty akanizidi nguvu [emoji23] .
Siimbi hata. Ila sijui nina sura ya huruma mno [emoji1787]
Now days na huu uzee navaa vaa.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Haya mambo magumu.
Wengine hawataki zivaliwe,wengine wanataka zivaliwe...Sasa Sijui Tufwate lipi?!!
Kwahiyo ukalambwa fimbo?[emoji16]
Sauti tatizo 😂Inabidi umshinde nguvu shetani sasa kwa kuamua kwenda kumuimbia Mungu.
D[emoji7]Mama: Hivi hamuwezi kupiga picha bila kukodoa macho?
Me: yanakodoka automatically [emoji23] View attachment 1973486
[emoji38] Dah!mambo ya kuchapana .Now days na huu uzee navaa vaa.
Nilichapwa. Sijui usoni alinionaje tena akanambia nakupa dk 2 urudi hapa uso unatiririka maji [emoji23]
Nakuona dear 😘D[emoji7]
Kabisa mama mtumishi. Depal fuata huu ushauriInabidi umshinde nguvu shetani sasa kwa kuamua kwenda kumuimbia Mungu.
Sauti nzito ni nzuri zaidi kuliko nyepesi.Sauti tatizo [emoji23]
School life 😂[emoji38] Dah!mambo ya kuchapana .