Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,226
Sio watatu tena?Uzuri mimi nimekuzidi
Ninao wanne.
Sio watatu tena?Uzuri mimi nimekuzidi
Ninao wanne.
Andaeitini bwanaKristooo
Nitakushangaza siku na B. C![]()









Ukimwona alikiba basi umeshaniona Tyr..nasikia wanasema nimefanana nae..so Tyr picha yangu unayo maana aliyemuona alikiba basi ameniona Mimi 🤣🤣We bisha tu ila me nakuambia ukweli.
Hebu nione picha yako..
Njoo nikupe personal tour 🙂
Naomba tukeshe wote Lizzy..malipo ni lile gauni jeusiAlafu kuna siku nikitoka kuwa lakionaire na kuwa millionaire watasema Lizzy anaringa wakati kukesha nakesha mwenyewe
View attachment 1972454

financial services ananijua..muulize kuhusu Mimi atakuhadithia😁We bisha tu ila me nakuambia ukweli.
Hebu nione picha yako..
Nataka Ku prove SatohUkimwona alikiba basi umeshaniona Tyr..nasikia wanasema nimefanana nae..so Tyr picha yangu unayo maana aliyemuona alikiba basi ameniona Mimi 🤣🤣
Haifai, as long as you're here then unapaswa ujimalize mwenyewe.financial services ananijua..muulize kuhusu Mimi atakuhadithia😁
form bei gani?FRIMASON JIUNGE UWEZE KUMILIKI PESA,MAJUMBA NA MAGARI YA KIFAHARI KUKUZA BIASHARA KIPAJI WASILIANA NASI KWA NAMBA(0733119646)(0683506511)KUJIUNGA
😆😆😆 mmoja wa ku deal nao, sms imeingia now☝️☝️☝️
Aah mkuu usimzungushe Depal Ebu mtumie picha bana, afu dear hili ni litoto hautoamini anatimiza 21 yrs mwezi December. Yaani Jf ina watoto hii🤔financial services ananijua..muulize kuhusu Mimi atakuhadithia😁
Umeamua kurara na Mimi mbere 🤣🤣 ..yaani Hadi unione ndy ulidhike🤣Nataka Ku prove Satoh
😂😂😂wapigie uwaulize, we hawajawahi kukutumia sms?form bei gani?
🤣🤣🤣🤣 Asee wewe ndy umeamua kunikanyagia kabisa asee..Mimi huyo ndy wa 21 years ahahahah.Huu ni utani wa kupigwa na mawe kabisaAah mkuu usimzungushe Depal Ebu mtumie picha bana, afu dear hili ni litoto hautoamini anatimiza 21 yrs mwezi December. Yaani Jf ina watoto hii🤔
😂😂 wewe ni kama mdogo angu wa mwisho😛🤣🤣🤣🤣 Asee wewe ndy umeamua kunikanyagia kabisa asee..Mimi huyo ndy wa 21 years ahahahah.Huu ni utani wa kupigwa na mawe kabisa
Kiingilio ni kukubali kutestify kwenye ile kesi ya ugaidi 😁🙈🙈Sounds great! Kiingilio bei gani na ina tozo au bila tozo?
Kiingilio ni kukubali kutestify kwenye ile kesi ya ugaidi 😁🙈🙈
Njoo mwaya. Ntakuongezea mengine yafike 5 🙂Naomba tukeshe wote Lizzy..malipo ni lile gauni jeusi![]()