Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Work smart.
Nice Monday and Nice week [emoji106]
20211011_073900.jpg
 
Akikubali kufanya kazi kwako, basi atakuwa ame fail kutekeleza contractual obligations, hio itakuwa ni breach of contract, kwa mujibu wa makubaliano lazima akutane na penalties za kufa mtu...😁😁😁, kabla hujamuajiri lazima anilipe fidia, kama upo tayari kumsadia kulipa its ok, mtakuwa mmenipa faida sana... bado mie ni mshindi...😄😄😄

😁😁😁😁

Ngoja nifanye mipango yangu kimya kimya....ukija shtuka, manyoya haya hapa 🤪🤪
 
Embu jaribu kunidukua na mimi nihamasike kurudia ujinga nlowahi kuufanya zamani in retaliation [emoji16][emoji16][emoji41]

All in all, lawama mpe NDINDA ....angepiga kimya haya yote yasingetokea.[emoji57][emoji57]

Kwani nimeharibu wapi [emoji1787].
 
Naoma Mambo uliyofanya jana yamekalika[emoji41] na umeleta mahala pake tuanze kuburudika[emoji1787].
😆😆😆

Naomba nirudishie hela yangu maana utabiri wako sio kabisa. Just went to pick something up...
 
Back
Top Bottom