Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Boss huwa hadaiwi kwa nguvu...[emoji1787] Bei gani, Lete payment details[emoji41]
Ukishamwambia "nakudai" unamuacha amount aamue mwenyewe 😁
Boss huwa hadaiwi kwa nguvu...[emoji1787] Bei gani, Lete payment details[emoji41]
Boss huwa hadaiwi kwa nguvu...
Ukishamwambia "nakudai" unamuacha amount aamue mwenyewe [emoji16]
Zenjibar 🙂Bonge la location[emoji41]
Sawaaaaaaaaaa[emoji38][emoji38][emoji38]Afadhali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itabidi unishonee bure kabisa
Hizo services ni first class so asante sana 🤗🤗Yule bodyguard nimemtimua, nimemleta mwingine, huyo ametoka Russia hajui English wala Swahili, sijui utamshawishi vipi, sasa hivi kokote unapokwenda ni kupaa angani tu, hata sokoni unakwenda kama first lady...😀😀😀
View attachment 1970971
expenses zote kuanzia salary ya rubani, inspections,fuel za hio chopper mpaka maintenance ni juu yangu...😉
Lizzy
hapo nimeweka mpaka aliens, ujue kuna vitu huvioni ila wao wananitumia picha tu huku mi nacheka, kuna watu wanaingia na kutoka huwezi kuwaona(wa ulimwengu mwingine) 😁😁😁... walinzi wengine hawaonekani kwa macho... bado mie mshindi...🏆🏆🏆Hizo services ni first class so asante sana 🤗🤗
Buuuuut...kabla hujaendelea kufurahia ushindi ambao bado hujapata just know I'm friends with one Alex Lunkov...View attachment 1970989
Na maneno mawili matatu sikosi,so.....don't celebrate too soon.😎
Yule bodyguard nimemtimua, nimemleta mwingine, huyo ametoka Russia hajui English wala Swahili, sijui utamshawishi vipi, sasa hivi kokote unapokwenda ni kupaa angani tu, hata sokoni unakwenda kama first lady...😀😀😀
View attachment 1970971
expenses zote kuanzia salary ya rubani, inspections,fuel za hio chopper mpaka maintenance ni juu yangu...😉
Lizzy
naomba unielekeze huyo fundi,,siku nikiokota hela naenda kushona gauni kama hilo😊