100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,127
- 36,190
basi mie nafanya just for fun, nikikosa kazi nafanya kama hobby..., thanks kwa kunipa taarifa😀😀😀Editing zako ni next level aisee. Congrats...
Lizzy ulinzi ni wa kutosha, naona upo na bodyguard kabisa, nikija xmas asije ni shoot [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1970336
unataka kunigombanisha na Lizzy 😆😆😆Haaa, kwa uliyofanya hapo nina uhakika na ua usoni umelitoa ila ukalirudishia tena tusione [emoji41]
Shindano la kula ugali [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
kama anatokea west itakuwa ni ule ugali wao wanaita fufu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huo ugali gani mbona unanata kwenye mikono hivyo au hawajanawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uko vizuri.basi mie nafanya just for fun, nikikosa kazi nafanya kama hobby..., thanks kwa kunipa taarifa😀😀😀
Fanya hivyo bana!!👊🏾👊🏾Fasta tu, Namalizia soon , Nina Sleep debt [emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ntakua sawa soon.
Lizzy ulinzi ni wa kutosha, naona upo na bodyguard kabisa, nikija xmas asije ni shoot 😁😁😁
View attachment 1970336
Unataka kuniambia and 100 others ana "Ua REMOVER"????🙄🙄🙄🙄Haaa, kwa uliyofanya hapo nina uhakika na ua usoni umelitoa ila ukalirudishia tena tusione [emoji41]
Ngoja nije kuchukua hiyo mbogaLilete [emoji23]
Ninachokupendea nkamu,upo vizuri sana kwenye mambo ya kula.View attachment 1970329
Weekending[emoji4][emoji4]
Naona unaitendea haki taaluma yako[emoji109]Lizzy ulinzi ni wa kutosha, naona upo na bodyguard kabisa, nikija xmas asije ni shoot [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1970336
Ninachokupendea nkamu,upo vizuri sana kwenye mambo ya kula.
Stop over[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Miguu inaniuma,kile kiwanja yale mabonde[emoji1785]View attachment 1970425
Nimemtuma 2 months b4 aje kuhakikisha unapata ulinzi na hausafiri kama ulivyosema ☺️😂😂😂😂 thanks for the laugh and 100 others ....naona unahakikisha mpishi anafurahi ili pilau lako la Christmas liwe la maana. Smart dude 👊🏾👊🏾👊🏾😁
Alafu Mr Bodyguard atakushoot vipi na wewe ndo uliyemu-assign 🙂🙂 Ila mi sipendi kuzingwa sa sijui itakuwaje 🤔🤔