Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tunaomba Aircraft registration license, Landing Fee Boss, Na Work permit ya Huyo Mkulungwa [emoji41][emoji1787].
sasa NDINDA kama mnataka vikwazo endeleeni kuuliza vibali, nipo nyuma ya watu wakubwa...😎😎😎...

twitter JB amekiwasha huko, nimempigia simu...amekujibu na tweet... kama Lizzy amekutuma mwambie hachomoki..

tweet_post (2).png
 
View attachment 1971165
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Inabidi nitulie tu sasa maana kama JB anahusika hamna namna.🥴🥴 Labda nihamie kwa Kim Jong Un ndo angalau ntakuwa na chakusema.😒
 
Kweli Dunia haiko fair, yaani jumla ya Pension niliyoipata kwa kufanya kazi miaka Kenda wewe ndiyo unaifanya pocket money ya mtoko mmoja [emoji85][emoji134][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Not fair kabisa.
 
Back
Top Bottom