Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nkamu mimi napenda kula yaani napenda!!!nakifurahia chakula kutoka moyoni ndiyo maana nina kilo 95 nazidi nenepa[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
95 !!
Selfika kidogo basi tuone[emoji38]
Upunguze hadi 75.
 
Nkamu nimeshindwaa nishajitahidi sana nimeshindwaa nimebaki tu nasikitika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ingekuwa inawezekana,ungenipunguzia 20 tu
Halafu wote tuwe na 75.
 
IMG_20211010_201251_6.jpg

Ngoja tuongeze mafuta ya kuendelea na safari.

Cheers to everyone here 🥂
 
Nimemtuma 2 months b4 aje kuhakikisha unapata ulinzi na hausafiri kama ulivyosema ☺️
kuhusu kuzingwa vumilia , xmas ikiisha unakuwa huru...😉, wanasema usicheze mbali😆
😆😆😆😆😆

Ngumu sana kuvumilia!!!!😱😱 Ila sasa ukikuta nimem-convice aniache nisafiri yeye tu ndo anakusubiria itakuwaje?🤪🤪
 
Back
Top Bottom