Page 94
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 5,202
- 15,231
Kumbe inawezekana mtu kuacha pombeNitajie tu soft drinks hapo![]()
Ahh mama upo vizuri, ila angalia usivunje miguu wazungu wanatubadilisha sana tamaduni
Hivi kwanini waarabu, wapemba chips zao ni nzuri sana na pilipili nzuriAliyepo Bagamoyo asogee kwa mwarabu hapa karibu na stendi tupate mbili tatuView attachment 1969220
Hehe LuNa....
Tu.....
Mg.....
Lu....
Au ma... Ka...
Haha utajua hujui.
Ewaaaaa hapa safi
Wanajitahidi kwa Mapishi mkuuHivi kwanini waarabu, wapemba chips zao ni nzuri sana na pilipili nzuri
Ni kweliWanajitahidi kwa Mapishi mkuu
Uhuhuuu!😂😂🥰❤️
Kabisa Toxic9 🤣 weka nia tu.Kumbe inawezekana mtu kuacha pombe
Kabisa Toxic9weka nia tu.
Umenikumbusha nickname yangu ya zamani, mimi nataka niweke nia niacha pombe pia nipe mbinuSawa mama tukutane wapiMizururo time....View attachment 1969479
Mkafanyeje?Sawa mama tukutane wapi