Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwanamke wa ndio mume wangu hata ningekua mwanaume nisingemkubali. Unakuaje na mtu hawezi hata kukuongezea kitu?
Ni wanaume wote mama yangu siyo hawa tu, na ndiyo maana wanakuwa disturbed sana na women empowerment maana walishazoea maisha ya babu zetu na bibi zetu wanawake walikuwa hawana sauti chochote watakachoambiwa wao ni "ndiyo mume wangu" which is kinda difficult kwa dunia ya sasa kwa kweli.
 
Sitaki kuamini ninachokiona hapo kifuani, anyway furahia weekend yako.
Unachokiona ni nyonyo
Mwanamke nyonyo kwa hiyo tuliza ball

Na umnunulie wa kwako bra ipige jeki. Maana yameshuka karibia na tumboni.
tapatalk_1570084168492.jpeg
 
Back
Top Bottom