Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Hakikisha anakuja
Twende 5n![]()
Twende 5n![]()
🙇🙇🙇🙇Uuuunhhhh...Loooord Jesus!!!
Mwambie aweke watu tusafishe macho sahiizi..!!
karibu sana usingizini kwanguNakuja kukukaba usingizini
Hahhaha kabisaNa atupe nguvu wale vibonge tuendelee kupishana gym!!
Sawatutakutana hapo.
naelewa maumivu uliyo nayo.
Watoto ninao wawili na bado ni kisu kuliko mke wako.
Haha'Wekaa
Umepiga picha ofisi kwa bosi wako.kesho nakufukuza kazi
Niwacheeee 😪Wewe ng'ombe njoo
Aje ili umpige?
Njoo nikupe mchongo acha utoto basi.Niwacheeee![]()
Nimpige kisa nini? Me sijui kupigana hata na mito tu siwezi![]()
![]()
Aje ili umpige?
Basi njoo nikupe dili kali. Kitu cha Arusha kiko home.Nimpige kisa nini? Me sijui kupigana hata na mito tu siwezi
Ulizingua kinoma. Niko na hasira na wwNjoo nikupe mchongo acha utoto basi.
Mmh hebu njoo inbox huwenda nikawa mkosefu pasipo kujua.Ulizingua kinoma. Niko na hasira na ww
Kipe location 😜😜Basi njoo nikupe dili kali. Kitu cha Arusha kiko home.