Kutupa njaa tu😕
Jimbo liko wazi hilo!! Ogopa matapeli mshenga sijawahi peleka barua sehemu yeyote ileSitaki wame za watu😂
HahahaaaaJimbo liko wazi hilo!! Ogopa matapeli mshenga sijawahi peleka barua sehemu yeyote ile
Ka qute, 💋💋😘😘
Kako Level gani huko school?Last day of school before Thanksgiving holiday.
Masikio yangu yamechoka kusikiliza umbea wa shuleni 😀.
View attachment 3714177
Iwe mwanzo na mwisho😂😂😂 jamanii
Kindergarten. Sijui kibongo bongo sasa hivi ni sawa na nini. Vidudu labda?Kako Level gani huko school?
Ila Nyani unaishi maisha mazuri sana, mzee... As a man all I need is a wife and kids to come home to.. Yaani kuna fulfillment ya hali ya juu sana
Yuko Chekechea huyo.Kindergarten. Sijui kibongo bongo sasa hivi ni sawa na nini. Vidudu labda?
Manake huku kuna pre-school au pre-kindergarten.
Wakitoka kindergarten ndo wanaenda elementary school na kuanza first grade ambayo kwa huko labda ndo darasa la kwanza.
Pumbaaavu, 😂😂😂Iwe mwanzo na mwisho