Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,750
- 109,845
asante, vile tu you caught my eyes...
Haha'
Kaka una ufuatiliaji mzuri sana, MUNGU akubariki..
Haha'
Kaka una ufuatiliaji mzuri sana, MUNGU akubariki..
Mwanangu wakati anajifunza kuzungumza , pendeza alikuwa akiitamka 'peja' na mie nasema umepejaWikiend imeanza.
Mpo viwanja gani nije eti.View attachment 1223576
WahiiNiko njiani, vipi bado kipo?
Wikiend imeanza.
Mpo viwanja gani nije eti.View attachment 1223576
Sikumbuki hata page
Hebu niache uvivu
Namshukuru MUNGU mimi ni wa kike jamanii..!! Hivi ningekuwa wa kiume ningekuwa wapi kwa majaribu haya???
Sitaki kutafuta matatizo na mtu.... Sitaki maswali [emoji84][emoji83][emoji84]View attachment 1223501
Kula kwa wingi ...gym utapoteza MudaAnne naomba siri ya huu ubonge, mbona vimbaumbau tunateseka sana hadii gym na hatunenepi, haha'..!!
Haleluja[emoji8][emoji8]
Ungetongoza tuu[emoji13][emoji13]Namshukuru MUNGU mimi ni wa kike jamanii..!! Hivi ningekuwa wa kiume ningekuwa wapi kwa majaribu haya???
[emoji178][emoji178][emoji178]Mwanangu wakati anajifunza kuzungumza , pendeza alikuwa akiitamka 'peja' na mie nasema umepeja
Mkanyiko ni nini ?Huu uzi utaleta mkanyiko sana kwa baadhi ya member.....usiulize kwann wewe mtoto
[emoji178]
Mkanyiko ni nini ?
Mbona mkanyanyiko?Hahahaha wewe hapo si ujazie nyama, mkanganyiko
nyigu weee 😋 😋 😋 😍 😍
Sitaki kuamini ninachokiona hapo kifuani, anyway furahia weekend yako.