Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,853
Niletee 😁😁Hivi ulinambia nikutumie ile saa Machame? Kwa guu hili haki ya nani hiyo saa naleta Mwenyewe bila kumwagiza mtu 🙈😜
Niletee 😁😁Hivi ulinambia nikutumie ile saa Machame? Kwa guu hili haki ya nani hiyo saa naleta Mwenyewe bila kumwagiza mtu 🙈😜
Saaafi, same here.Kufa kupo pale pale.
Siku hizi sijui kwanini nimeacha kuogopa kifo,,nipo tayari kwa lolote .
Viwanja ni vingi, nipe code nikujoinWapi wanaimba karioke hapa dar 😍
Mjukuu leo umejua kuniweza Babu yako, yaani licha ya giza hili mjukuu unawaka kama taa😋😋🙈🏃🏻🏃🏻Nacheza na mito tu[emoji41]View attachment 1961830
Nipo Moro now, wewe upo Dar?Unakuja kunifundisha kunywa?[emoji38]
Mbona mimi nipo ulipo,basi tu uligoma kabisa kubeba dhambi hii ya kunifundisha.
Kwahiyo umewaza ukahisi naogopa pombe[emoji38]
I hope ni Tz[emoji3]View attachment 1961780Songi songi [emoji3590][emoji3590]
Ngoja uangukeBembea [emoji3346]View attachment 1961785
Kweli wajukuu leo mmeamua kunitesa, yaani hapa nilipoteza miwani yangu imenibidi kutumia ya Bibi yenu ili niweze kuwazoom vizuri. Natamani ningekuwa Kijana 😋😋🙈🏃🏻Sun light ☀View attachment 1961856
Nakuja manake si kwa Guu hilo, nitaomba angalau uniruhusu nikuguse hata mkono wako niamini kama ni wewe. Manake Mimi ni kizazi cha mwisho cha akina Thomaso tusioamini 🙈🏃🏻🏃🏻Niletee 😁😁
NiwekeeView attachment 1960307
[emoji6][emoji6]
View attachment 1961780Songi songi [emoji3590][emoji3590]
You really have an eye for detail, i know you made extra effort to capture those photos from the perfect angle...
Unaweza Fanya diet unakula mchicha halafu unakuja kufa kwa ajali[emoji38]Saaafi, same here.
Tunapishana mchumbaNipo Moro now, wewe upo Dar?
ISO M.CodD twende kibozone tukapate moja baridi moja moto tuangalie na band.
Eheeeeee@ISO M.CodD twende kibozone tukapate moja baridi moja moto tuangalie na band.
K-vant 3 haziwezi nishinda kukununulia[emoji38]
Karibu mchumba.Eheeeeee