Dah nimejikuta nakumbuka kijijini kwetu [emoji176]View attachment 1961645
Best moments ever
Mbona hizo ndizi zinahamasisha kukaanga na kilo 3 za nanii ili kuzifaidi 😋View attachment 1961645
Best moments ever
Thanks a lot. I saw it. You have a good heart [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Done!
Dah nimejikuta nakumbuka kijijini kwetu [emoji176]
Mbona hizo ndizi zinahamasisha kukaanga na kilo 3 za nanii ili kuzifaidi [emoji39]
Mweeee nimetamani.View attachment 1961673
Raha sana yani
Sema tu unatafuta mkorogo😀😀Mweeee nimetamani.
Halafu nina shida na uso wangu, hopefully utanisaidia kitu kizuri cha kupaka[emoji847]
Kufa kupo pale pale.Utaskia mara usile junk food utakufa, we utaishi milele?View attachment 1961701
Nipe basi huo mkorogoSema tu unatafuta mkorogo[emoji3][emoji3]
Unasema kweli mchumba??[emoji23]Kufa kupo pale pale.
Siku hizi sijui kwanini nimeacha kuogopa kifo,,nipo tayari kwa lolote .
[emoji38]Unasema kweli mchumba??[emoji23]
Njoo tunywe bia[emoji38]
Mbona unauliza huku unanicheka??
Siogopi lolote siku hizi.
Kwani wewe mchumba unaogopa?