Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,954
- 136,724
Kuna jirani yetu walimwajiri mfanyakazi wa ndani, mke anarudi jioni sana,kazi ya mfanya kazi ni kumhudumia mtoto, katoto ka miaka mi 3 katoto ka kike, yule Dada wa kazi alikuwa akitaka kwenda kuzurura anakapa dawa za usingizi, mtoto analala kuanzia mchana mpaka usiku, Dada akitoka kazini yeye ni kuuliza 'mtoto amekula' that's all, mtoto amelishwa sana dawa za usingizi, dogo ana miaka 12 sasa, ni katoto karembo Sana, but now ni kama akili zimeruka, side affects za dawa...Hii ishu ni very serious now days.
Tunalea kisasa sana kiasi kwamba wajibu wetu muhimu kama wazazi tunaukwepa. Leo unakuta natoka asubuhi kwenda kazini narudi saa 4 usiku watoto wamelala, weekend ndio kabisa nashinda kwenye mishe nyingine za kutafuta chapaa.
Wazazi wenzangu,tujitahidi kutenga muda kwaajili ya kuwafundisha watoto namna ya kuhusiana na wengine wawapo mbali nasi,tusipo fanya sisi dunia itawafundisha.
Utafutaji pesa usitufanye tukawa wabinafsi na kusahau wajibu wetu muhimu.
Moro town si mchezoThe deeper the Love, the deeper The hate#TheBestLaidPlans View attachment 1959676
Mpe tano Kendi.
Naomba kwanza wa kina Vanessa na kama una clip zao naomba ili nichukue samareTeeena mie na umbea dam dam, heri nikose kula ila sio bundle khaaaah.
Ntakuaa nakupa tena ule hot hot, nipo vizuri sekta ya udaku, ukuda, ufukunyuku, umbea, nk![]()


Siku moja MojaKila siku cc lol,![]()

Naomba kwanza wa kina Vanessa na kama una clip zao naomba ili nichukue samare![]()



insta huwa siwagi na download video, ila usjar ntakuletea.Hii kapo imenivutia,,inani motivate😆insta huwa siwagi na download video, ila usjar ntakuletea.
Hii kapo imenivutia,,inani motivate![]()



couple ya dunia nzima hii, yaan mie nna furaha sana tena mno,simu yako weka kava 7 na screen protector 5 asije akakupa hasaraMpe tano Kendi.
Nitakuja kumsalimia siku Moja.




Hata akipasua sawa tu..ishachokasimu yako weka kava 7 na screen protector 5 asije akakupa hasara![]()
Boss umeongea vyema sana,nakumbuka kuna kesi ilikuja ya mtoto wa kiume kuingiliwa kinyume na maumbile baada tu ya kupelekwa boarding akiwa na umri wa miaka 7,sababu kubwa mke alimwambia mumewe anachoka sana na majukumu ya kazini hivyo ni vyema mtoto aende boarding. Mume aligoma kabisa,akatoa option ya mama kuacha kazi kusimamia miradi ya familia ili awe na muda mzuri wa kulea familia, mwanamke akagoma.Kuna jirani yetu walimwajiri mfanyakazi wa ndani, mke anarudi jioni sana,kazi ya mfanya kazi ni kumhudumia mtoto, katoto ka miaka mi 3 katoto ka kike, yule Dada wa kazi alikuwa akitaka kwenda kuzurura anakapa dawa za usingizi, mtoto analala kuanzia mchana mpaka usiku, Dada akitoka kazini yeye ni kuuliza 'mtoto amekula' that's all, mtoto amelishwa sana dawa za usingizi, dogo ana miaka 12 sasa, ni katoto karembo Sana, but now ni kama akili zimeruka, side affects za dawa...
Hata leo huwa nikienda nyumbani nikimwona yule dogo roho inaniuma Sana, lawama zote ziende kwa mama yake...
Fundisho kwa wazazi wote,
"Mimi naamini ukengemfu mkubwa wa jamii unatokana na malezi mabovu tunayotoa leo,tunaamini pesa inaweza kuchukua nafasi ya mzazi pale awapo mbali"