ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,482
- 126,744
Sisi tumeanza ligi rasmi![emoji38][emoji38][emoji38]
Jana mliwaokota wanyonge
Sisi tumeanza ligi rasmi![emoji38][emoji38][emoji38]
Jana mliwaokota wanyonge
Nimekunywa maji yakutoshaaumekuwa lini white
Bebi wewe ni yupii hapo?
Hahaaa mwenye hicho kibenderaBebi wewe ni yupii hapo?
Tablet zote hizo, for data collection?Afisa kipenyo mara baada ya kupata breakfast ya bia.. [emoji123][emoji123][emoji123][emoji41][emoji41]
View attachment 1951330
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]2 in 1
Hajaingia kwenye Guinness book of records?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio kwa rounds hizo lol. View attachment 1954504
Umeficha mambo mazito kwenye gwanda humoo...wenye macho ya rohoni ndio tunaweza kuyaona tu hahahahaBebi wewe ni yupii hapo?
Kwamba wewe ni mjeda? Sitaki kuongea na wewe tena[emoji39]
Pamoja na magwanda, yaliyomo tushayaona yani!!Hahaaa mwenye hicho kibendera
Njoo uledaaaah sio poa ...umenitamanisha haswaa
Asenali mnatusumbua na Ushindi wenu[emoji23]Sisi tumeanza ligi rasmi!
Hahaaa hivi ile dhambi si ulisema umeacha? Daah basi tena mbinguni ndiyo ushapakosa arif!Umeficha mambo mazito kwenye gwanda humoo...wenye macho ya rohoni ndio tunaweza kuyaona tu hahahaha
Hhahaha KwaniniKwamba wewe ni mjeda? Sitaki kuongea na wewe tena[emoji39]
Mbona Hamna kitu hapoPamoja na magwanda, yaliyomo tushayaona yani!!
Kwa ujumla wajeda na polisi sio marafiki zangu!Hhahaha Kwanini
Kwene suala la menu uko vizuri.
Mliwapata vibonde wenu.Umeamua kuita watu vipofu eti!!