raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,508
- 35,697
๐๐๐๐Sana!!
The storylines were simple but funny.
Mi nimeziangalia upya na dogo na nime-enjoy sana.
Alafu zamani most of us tulikuwa tunacheka wao wakicheka hata bila kuelewa vitu vingi ๐๐๐
Soul Food ilikuwa soul food kweli kweli ๐๐พ๐๐พ



