T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,088
- 30,487
OnePlus 8 Pro ni simu nzuri sana kwenye upande wa camera na kutunza chajinaipenda sana hiyo simu ila iphone imenipenda zaidi
Kwema lakini mkuu
OnePlus 8 Pro ni simu nzuri sana kwenye upande wa camera na kutunza chajinaipenda sana hiyo simu ila iphone imenipenda zaidi
Kwema lakini mkuuThank u sana
Kwema sana Boss, mambo vipi??Kwema lakini mkuu
MmmmmmmhNimeamin kweli samaki wanatoa tiba ya ubongo na akili, sio kwa maarifa haya lol. [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1955009
Vizuri sana kama ni kwemaKwema sana Boss, mambo vipi??
[emoji106]Vizuri sana kama ni kwema
Mambo poa kabisa mkuu
Mnatuchukia bure tu! Kila taasisi nchi hii ina mapungufu yake na ina watu wema na wabaya!Kwa ujumla wajeda na polisi sio marafiki zangu!
Aliyeshika FlagWewe ni yupi hapo?
Nambie Ngosha
Hujambo mkuuNambie Ngosha
Sijambo BrotherHujambo mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23] imekugusa nn? LolMmmmmmmh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwanza nina hamu mie? Nilikutan na kisanga kule, c nlichoka nkajfanya kuunga ishu na afande m1 anitoroshe, aseeeh pesa angu 200k alichukua, na akanichomeshaa mahindi daaaah, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Hahaa dogo Ulienda mujibu
Vizuri sana kama hujambo sisterSijambo Brother
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwanza nina hamu mie? Nilikutan na kisanga kule, c nlichoka nkajfanya kuunga ishu na afande m1 anitoroshe, aseeeh pesa angu 200k alichukua, na akanichomeshaa mahindi daaaah, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hapana kwa kweli, hongera sana mommah, yaan nkiona hizo gwanda had napatwa na baridi mweeeh, [emoji23][emoji23][emoji23]
Usiige loh..![emoji23]Nimeamin kweli samaki wanatoa tiba ya ubongo na akili, sio kwa maarifa haya lol. [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1955009