Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Aisee dah
Ivi kweli zilikuaga ni nzuri au kuzimisi tu😀😀😀
Ila tamthilia ya soul food niliipenda sana kipindi ile
Sana!!
The storylines were simple but funny.
Mi nimeziangalia upya na dogo na nime-enjoy sana.

Alafu zamani most of us tulikuwa tunacheka wao wakicheka hata bila kuelewa vitu vingi 😂😂😂

Soul Food ilikuwa soul food kweli kweli 👊🏾👊🏾
 
Back
Top Bottom