Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
mtoto mzuri mwingine wa jf
mtoto mzuri mwingine wa jf
nikiangalia uwiano wa ukubwa wa kijiko na huo ubwabwa, naona hapo ni vijiko 6, hivi unashiba kabisa
Daaaa
Kabisa 🙂nikiangalia uwiano wa ukubwa wa kijiko na huo ubwabwa, naona hapo ni vijiko 6, hivi unashiba kabisa
Aisee 🙂Kabisa 🙂
View attachment 1953613
Obviously!!Aisee 🙂
ni sawa, hatuwezi lingana uwezo wa kula, hasa wanawake wanakula kidogo.
Mi naona you want to lose weight, na kwenye hilo you have the disciplineObviously!!
Imagine ningekuwa nashindana na nyie kula 3 or 4 times my usual portion ningekuwaje 🤔🤔
The thing is....ukiwa unakula chakula kidogo kuna muda unafika ndio kinakuwa kipimo chako by default. Ukila zaidi iwe kwa kunogewa ama tamaa tu then unaishia kuumwa tumbo (linajaa sana)......sasa.....that's where I'm at.Mi naona you want to lose weight, na kwenye hilo you have the discipline
najua wakati mwingine unakutana na temptations and seem too powerful to ignore, unakula kidogo sana, ongezapo kidogo
Aah kawaida tu mkuu🤔mtoto mzuri mwingine wa jf
Hahaha wa hovyoo akifanya mambo ya hovyooAnza wewe kijana wa hovyo hovyo![]()
#familymatters #kitambosana
Who else was/is still a fan?
View attachment 1953574View attachment 1953572
