Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,227
- 1,821
Killing me softly..
Killing me softly..
Utopolo kipofu kaona mbalamwezi
Be serious.
Chaji simu wewe.Kwa heshima ya ushindi naweka picha ya gauni langu la Yanga
Japo picha ya kitambo[emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji169][emoji172][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169]View attachment 1952769
Umetoka kinyanwezi..Hata sisi wazee pigo za watu wa dar tunaziweza vile vile 😀😀
tusisahau bia ndugu
View attachment 1952818
😀😀😀turudi shamba sasa tukalimeUmetoka kinyanwezi..
usisahau ahadi yangu ya kulipiza kukurushia mawe kwa kuwachapa wanafunzi wengi sana..😀😀Sasa hapa walimu tunahusikaje[emoji2369][emoji2369]
Hebu fanya haraka, hayo mawe yatakuwa lori ngapi? maana nataka kuanza ujenzi hapa.usisahau ahadi yangu ya kulipiza kukurushia mawe kwa kuwachapa wanafunzi wengi sana..[emoji3][emoji3]
Mie imeniboa sina hamu nayo teena.View attachment 1953465
My Sunday…money heist mpaka iishe[emoji6]
Mie imeniboa sina hamu nayo teena.
Nilowapenda wanakufa sasa nitamuangalia nani tena!!Kwa nini jamani?
Why jamani! Wasn't my intention .. am sorry 😉Killing me softly..
Hapana mkuu mi sie chalii ya 'R' 🙂Machalii wa Arachuga utawajua tu yani
Mambo mtoto mzuri? umependeza na miguu yako mizuriView attachment 1953465
My Sunday…money heist mpaka iishe[emoji6]