Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,790
- 182,962
Ndio Ely!
Ndio Ely!
Hapo nimekuelewa. Vitu vikali.Hahaha wa hovyoo akifanya mambo ya hovyooView attachment 1953664
Madam ukimaliza hiyo plate, nitakupa respect. Maana una F ya kula.
[emoji23]Madam ukimaliza hiyo plate, nitakupa respect. Maana una F ya kula.
No way[emoji23]
nimemaliza yote
Nilikuwa na njaa sana maana tangu nilikula ubwabwa usiku.No way
Kwema mpendwaNdio Ely!
Don't be sorry for being real. 😊😊Why jamani! Wasn't my intention .. am sorry 😉
Kwema kabisaa, nasubiri tu samaki.Kwema mpendwa
Vizuri sana kama ni kwema kabisaKwema kabisaa, nasubiri tu samaki.
Nilitoa ila nashangaa hawafiki[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Vizuri sana kama ni kwema kabisa
Hahaha...kwani bado tu hawajakufikia hao samaki?
Tatizo hujatoaga ramani kwamba samaki wanakufikiaje
Aisee dah#familymatters #kitambosana
Who else was/is still a fan?
View attachment 1953574View attachment 1953572
Bado siamini mpaka 90+2 zikipita ntaaanza sherehe.Kipofu kaona mwezi...!
View attachment 1953919