Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Haya ila uache kuweka za mtandaonimkuu tulia ikianza mizigo hapa utaacha kazi, ohoo
naweka za shemeji yenuHaya ila uache kuweka za mtandaoni
mkuu niko upande wako....una pisi kali sana ila kwa humu hyo pisi yako kwa Depal haijaimkuu naahidi kutoowangusha
kwa jinsi nilivyowakimbiza mpaka sasa hawana hamu
narudi na kasi ya 5G, this time nakuja na kikosi kazi,
leo naomboleza, lakini ntarudi
W.end haifiki tu![]()
Kweli kabisa,wakarimu,sio wachoyonilikaa nao kwa muda mfupi lakini ni wakarimu sana pamoja na wanyasa
Kule ndio nilijua utamu wa ugali na LUPAMBU![]()
wakarimu kwa vyote

Tupia mavitu....tuonegood morning.

Halafu Depal, bwana weeh sijui nani anamfundisha maneno ya kitaamkuu niko upande wako....una pisi kali sana ila kwa humu hyo pisi yako kwa Depal haijai
unamjua chillita ww??
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
manzi yangu ananifanya niwaone wanawake wengine ni wanaume wenzangu
sio figure
rangi
ni hodari kwa bed
mtoto ana shingo huwa naipakaa asali halafu nailamba
au kanipa kamotee
Halafu Depal, bwana weeh sijui nani anamfundisha maneno ya kitaa
utamsikia
anakuita "msela", 'unayumba mwana'
juzi hapa ananiambia eti "unamwagia wazungu sehemu safii"
huyu mtoto sijui nani anamfundisha lugha zetu hizo
anajua mpaka vumbi la ''Democratic Republic...''
mhhhhhhh!!!









Makirikiri wana ushamba wao sana..Siku hizi hata ukanyage kile kipande cha barabara cha upande wa ukuta Utapigishwa kichura siku nzima![]()
Hazard CFC leo mood inakataa kabisa! Malizana na shughuli nyingine kwanza 🙂
mawardat ni mpole ni mrembo ana figure amazing, kwenye mapishi utamkuta anakula ugali mkubwa na dagaa wakavu pembeni wa mchuzi(hajui kupangilia mlo), mawardat hata ule ugali mwekundu anapiga vizuri![]()
Lizzy huyu dada ni mrembo mchapa kazi, kwenye jiko hana mpinzani humu jf, lakini hamfikii manzi yangu kama anabisha niweke mpambano wa kukaangiza hapa,
Depal ni mrembo halafu ukimzingua anakukata kofi, anakata makofi kama nyani,ana figure amazing, kupika ni 0
Priscallia ni mrembo halafu ni mpole ana figure amazing ,sema ni slay qeen hawezi zile kazi za ki wife material ikiwemo kupika ugali, anapenda outing na kupika hawezi kama mie muongo ani prove wrong
Saint Anne ni mrembo yeye ni mtakatifu, inaonekana ni mtu wa church sana anajitahidi kupika ila hamfikii manzi yangu
manzi yangu ni mrembo, anajua kupangilia misosi mezani, anajua kupika, ana figure amazing, anaponimalizaga kabisa akipikaga lile biriani na zile nyama za kusaga wallah huyu mtoto balaa.