Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,849
Huo unaokuletea banUkorofi upi?View attachment 1949218
Huo unaokuletea banUkorofi upi?View attachment 1949218
Stakiiiiiiiih, [emoji23][emoji23][emoji23]Shauri yako[emoji38]
Hatareeeh sana mzee wa chura. [emoji23][emoji23]
Ahsante sana mlongo, [emoji3590][emoji3590]Karibu sana[emoji120]
Mahilo ni songea vijjnDUMLA [emoji38][emoji38] unanikumbusha Ngima, Njombe, Kingua, Mahilo, Litembo na kadhalika
Rafiki mimi ni mchungaji naenda kwenye majukumu yangu ya kujipatia mkate wangu wa kila siku.Leo tuna mafunzo ya wana ndoa.Hatareeeh sana mzee wa chura. [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie uwiiiiiiih, una nn wee lakini khaaah.Rafiki mimi ni mchungaji naenda kwenye majukumu yangu ya kujipatia mkate wangu wa kila siku.Leo tuna mafunzo ya wana ndoa.
Mwenye picha yake amezuia.hivi jf inabagua baadhi ya picha? nataka niweke picha ya jamaa yangu Nelson Orutu(RIP) haipandi
Inasema "The uploaded file was not an image as expected"
Huyu kaka aliniuma Sanaa[emoji22]Siku ya leo imetimia miaka miwili toka niwapoteze wanangu Nelson Orutu, Nelson Mabeyo, my comrades
ilikuwa ni Sept 23 2019(siku kama ya leo) siku ya jtatu asubuhi
pumzika kwa amani
Farewell, farewell, my friends I smile and bid you goodbye. No, shed no tears for I need them not. All I need is your smile
I should be very happy for all the good times we shared at your side. Good trip to you my friends, the Lord will rest your soul, amen
View attachment 1949295
Mbavu zako tena wakati huo ndiyo ukweli?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie uwiiiiiiih, una nn wee lakini khaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie stak ujue wee rafiki.Mbavu zako tena wakati huo ndiyo ukweli?View attachment 1949360
mkuu naahidi kutoowangushanimeelewa mkuu....sasa em tuma picha ya yule manz ako pisi kali
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Huyu kaka aliniuma Sanaa[emoji22]
Mungu ampumzishe pema Mabeyo Nelson[emoji120]
mkuu tulia ikianza mizigo hapa utaacha kazi, ohooMbona mnapost maneno sana kuliko picha za miguu 😂😂