Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
ndio nani huyo, sidhani anamzidi manzi yangu kuanzia figure mpaka upishiMbona sijaona mtu anaitwa Financial Services![]()
ndio nani huyo, sidhani anamzidi manzi yangu kuanzia figure mpaka upishiMbona sijaona mtu anaitwa Financial Services![]()
aaahKama hivi eeh ukienda ugenini utakataa kula,hile miugali nilenda zangu kutalii huko
Najua kupika na sipendi kupika,kula pia sipendiView attachment 1949550
KasemaMe napika bana. Sio zero kabisa aisee, sema tabia ya kupika nianze Ku take selfie badala ya kula ndio siiwezi. View attachment 1949587View attachment 1949589View attachment 1949591
,anataka kushindana kwenye mapishi
haaahhMe napika bana. Sio zero kabisa aisee, sema tabia ya kupika nianze Ku take selfie badala ya kula ndio siiwezi. View attachment 1949587View attachment 1949589View attachment 1949591
Me mtaniacha nyuma 🤣🤣 nitapika nile kinakaribia kuisha ndio nakumbuka sijakifotoa.Kasema,anataka kushindana kwenye mapishi
![]()
Mgaragaaze shemeji nishamuonaHivi urembo ni nini?
Hivi walokole pia huwa wanakuwa warembo eeh??
Mimi ni bibi kikongwe mkuu,manzi yako yuko wapi nishindane naye kupika?
Labda kupiga atanishinda angalau ajipatie ushindi maana Kwenye picha nishamgaragaza hata kabla sijapost.
,anapenda ligiIshaanza hiyo... Its Thursday you know?Utapata w.end au imeanza tayari?
Me mtaniacha nyumanitapika nile kinakaribia kuisha ndio nakumbuka sijakifotoa.



kuonjaonja,



Atiiii 🤣Kimekubaliana na nyama zakwe
usipunguze mrembo, huwa inavutiaHahahaaaa
Napunguza shemeji
Hebu mwambie tumuone kwanza.kuonjaonja,
Shemeji nae anapenda ligi
Mie sielewi napikaga saangapi![]()
Jirani yangu naja unifundishe kupika, maana eneo hilo niko empty kabisaMe napika bana. Sio zero kabisa aisee, sema tabia ya kupika nianze Ku take selfie badala ya kula ndio siiwezi. View attachment 1949587View attachment 1949589View attachment 1949591
umetishaVinjunga/vipensi muda wake usiku tu 😆 Mad Max View attachment 1949610
Hapo jirani mbona vitu ni vya kawaida sana jamani...Jirani yangu naja unifundishe kupika, maana eneo hilo niko empty kabisa
Nimemaliza since morning....ntakupa nikifika chapter 6 - 9 kesho.Chapter one ukiimaliza naomba summary.
Lizzy leo naona kama you are depressedNimemaliza since morning....ntakupa nikifika chapter 6 - 9 kesho.
Ntakuja jirani nisijepewa kibuti bebe Lee bure
Owkee dear.Nimemaliza since morning....ntakupa nikifika chapter 6 - 9 kesho.