Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,847
Hey! We wanna see you. Pls do the needful...
Hey! We wanna see you. Pls do the needful...
Hahahahah kwanini Mshana?Hizi I MISS YOU za Selfika! Zinafikirisha sana[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan we acha tyuh, ni shida tupu lol.Nilipo dalili ya mvua vimanyunyu now,mahindi yapo kibao watu hawajauza hadi ya mwaka jana wanayo[emoji23]
Mwezi ujao raia wanaenda mashambani tena kuandaa mashamba[emoji16]
Nilipo dumla moja wanauza jero[emoji849] huko vijijini sijui wanauza mia tatu[emoji2902][emoji2902]
Karibu mbinga hapa airport st.huruma[emoji2902][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan we acha tyuh, ni shida tupu lol.
Una tabia mbaya San wee babuuh, na nimekununia hivo ujue. [emoji57][emoji57][emoji57]Amerrudiiii
Where were you? Ilikuwa ni ban ya muda gani na kosa lipi? Maana umechukua muda mrefu Sana[emoji7][emoji7][emoji7] nimekumic had naumwa dea, uuuh
Oooooh mbna soon nakuja huko, nadhan n this week.Karibu mbinga hapa airport st.huruma[emoji2902]
🥰[emoji39][emoji39][emoji39] Your wish is my command..! I me pita iyo
Nipo home now, Ban ya miez 2, kosa sijui maan nkaona tyuh nipo banned. Aaaah [emoji24][emoji24][emoji24]Where were you? Ilikuwa ni ban ya muda gani na kosa lipi? Maana umechukua muda mrefu Sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],jamani ukatupotezea[emoji41]
Toka hapa stakii lol, [emoji23][emoji23]Seriously I MISS YOU .. nilipoteza mawasiliano fanya uniflash basi.. Siku inaeza kuwa njema
heheheeehHizi I MISS YOU za Selfika! Zinafikirisha sana[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji3]
Unaenda nyasa eeeh,,,Oooooh mbna soon nakuja huko, nadhan n this week.
Hizi I MISS YOU za Selfika! Zinafikirisha sana[emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji3]
Nilishawahi kuwa banned. Wakiku'ban wakati unaingia tu si unakuta ile msg yao 'you've been banned due to the following reason. ........ Your ban will be lifted on... Tar ya kuwa released? Kama sijasahau....Nipo home now, Ban ya miez 2, kosa sijui maan nkaona tyuh nipo banned. Aaaah [emoji24][emoji24][emoji24]
Seriously I MISS YOU .. nilipoteza mawasiliano fanya uniflash basi.. Siku inaeza kuwa njema
Wala hata hapo mbinga town tyuuh.Unaenda nyasa eeeh,,,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee usijaribu plz dea, mie nimekoma mbna, now time hawaoneshi info ya Ban.Nilishawahi kuwa banned. Wakiku'ban wakati unaingia tu si unakuta ile msg yao 'you've been banned due to the following reason. ........ Your ban will be lifted on... Tar ya kuwa released? Kama sijasahau....
Au siku hizi ipoje? Ngoja nitawachokoza siku nijionee [emoji16]