Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,639
- 858,193
- Thread starter
- #108,521
Hili gundu sio la nchi hii[emoji1]Ban ya siku saba kila baada ya siku mbili!
View attachment 1948978
Hili gundu sio la nchi hii[emoji1]Ban ya siku saba kila baada ya siku mbili!
View attachment 1948978
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Muone
Hii ni Matema ya Kyela Mbeya?Going placesView attachment 1949114
Take me there basi 🤣Going placesView attachment 1949114
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie, yaan mahindi hayana bei had watu washachoka kulima hili zao mweeeeh.Vuneni,mlime si unaona[emoji16]mahindi yapo kama yote bei cheee[emoji23]
Bora maharage[emoji2902]
[emoji7][emoji7][emoji7] nimekumic had naumwa dea, uuuhTake me there basi [emoji1787]
Nilipo dalili ya mvua vimanyunyu now,mahindi yapo kibao watu hawajauza hadi ya mwaka jana wanayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie, yaan mahindi hayana bei had watu washachoka kulima hili zao mweeeeh.
Mimi nilishangaa anakuja kututisha na picha yake
Hajui kina Depal wametulia wanamzoom.
Hapo bado hujapost wewe[emoji847][emoji847]
Nasubiri nione mnavyomgaragaza
Naona amesarenda
Sasa mbona haukunishtua 🤣🤣🤣
Sijui kako wapi ka rubani ka mchaga.
yaaah nimemmis na Depal piaI miss too
Jana ulikuwa angani[emoji2955]