MuoneTunasubiri mtuwakilishe
Wengine tushajizeekea.
MmmmmmmUkiniona njiani usinishtueView attachment 1948563
Sangoma 😁😁😁
PMIpo njiani![]()
Nakudai selfie ujue.
HB.
Tena nivi kunyumba hinu, nijovelahi mlongo vangu,We we huyo,wakunyumba![]()



Umeadimika hatariiii,upo Songea??Tena nivi kunyumba hinu, nijovelahi mlongo vangu,![]()
Buzyy na kutafuta maisha, plus Ban, bas ilikua n shida tupu lol,Umeadimika hatariiii,upo Songea??



Oooh pole kwa ban,umekuja kuvuna mahindiBuzyy na kutafuta maisha, plus Ban, bas ilikua n shida tupu lol,
Npo songea now yes.

Tanteeeh mlongo, tenaaah had nmechoka mweeeeh, mahindi enyewe mengi na hayaishi sasa, navuna wee had mikono inatoa lenge lenge.Oooh pole kwa ban,umekuja kuvuna mahindi![]()






Hii kazi siitaki kabisaTanteeeh mlongo, tenaaah had nmechoka mweeeeh, mahindi enyewe mengi na hayaishi sasa, navuna wee had mikono inatoa lenge lenge.![]()
,mie nakuwaga mpishi tu nikienda shamb...sio kuvuna

Hii kazi siitaki kabisa,mie nakuwaga mpishi tu nikienda shamb...sio kuvuna
![]()



we usnambie lol, mie sipew fursa ya kupika tatzo jomoneeh.Vuneni,mlime si unaonawe usnambie lol, mie sipew fursa ya kupika tatzo jomoneeh.
mahindi yapo kama yote bei cheee
