Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot_20210921-232555.png


Kumekucha karibuni tule
 
Nina ugonjwa wa kudondosha simu, hao Samsung watanikimbiza.
Hahaaa sasa hapo kwenye kudondosha simu hapo ndipo shida ilipo. Ila ungekuwa mtunzaji mzuri kama mimi ungefaidi sana hii brand.

Uzuri samsung zipo hadi za laki mbili siyo lazima ununue zile ambazo bei yake ni ugonjwa wa moyo. Kwahiyo hizo hata ukidondosha unaipaki tu kiroho safi.
 
Back
Top Bottom