Unajua hawa watu hawaamini kama tupo sisi wengine wenye sura za 'tafadhali nipigie' yaani wao wakishaona picha za kina SakayokapeaceSaint anne na Mzigua90 basi wanadhani wanawake wote ndiyo tuko hivyo
Uzuri ni kuwa ukileta ubondia wa mdomo basi ndio utakutana na ubondia wa makonzi, ila ukiwa mpole na mwenye hofu ya kufanya makosa basi utakuwa katika mikono salama mno.