Selfika na JF: Snap it. Show it

Yeahh...I suppose you are right! And thanks ☺☺ Ntamfikishia sifa zake dogo.

Kuhusu mshkaji....wa kawaida tu 😁😁😁🙈🙈
 
Alafu generation yenu na nyingine zilizopita ndo wamekuwa walimu basi tabu tupu!!!😬😬😬 Utadhani nywele ndo hu-determine maendeleo ya mtoto shule 😏😏

Tukirudi kwako...I LIKE YOUR PERSPECTIVE. 👊🏾👊🏾👊🏾

Kuna vitu vingine hata sio gharama kufanya/kumfanyia mtoto...ila ile mentality ya "mi sikuwa nacho, mtoto cha nini" ndo inayotuharibu wengi. Tunaishia kuwa wabinafsi bila sababu za msingi. So yeahhh....as long as kitu ni kizuri kwa mtoto (hakimdhuru kwa namna yoyote ile) na uwezo wa kumpatia ufanye hivyo muda.

Kama waswahili wanavyosema...."Atakushukuru baadae!"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…