Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,881
- 147,387
Dar kuzuri[emoji173][emoji173]Sunday[emoji176][emoji176][emoji176][emoji176][emoji176]View attachment 1944978
Dar kuzuri[emoji173][emoji173]Sunday[emoji176][emoji176][emoji176][emoji176][emoji176]View attachment 1944978
Unajua unanichekeshaga yaani[emoji23]vile unamaanisha babu[emoji41]Huu uzi huu dah! Halafu ndo nimetoka kwenye ibada. Kazi ipo wallahi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hatupo kwenye mapambanoSijaona mwanamke humu wa kugusa hii level manzi yangu yupo, sura, rangi na umbo.
Kama yupo aanzishe mpambano.
View attachment 1945006
Owkey mwambie akwende kwa Karma amuazime guu la bia.Sijaona mwanamke humu wa kugusa hii level manzi yangu yupo, sura, rangi na umbo.
Kama yupo aanzishe mpambano.
View attachment 1945006
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmh Umenenepa lini dogo
[emoji1787][emoji1787]Mbona hufananii huu mwili jamani dia
Dar kunanenepesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dar kuzuri[emoji173][emoji173]
Ndio tunapambana na huyo mwenye mwili wenye mabonde?[emoji38]Owkey mwambie akwende kwa Karma amuazime guu la bia.
Sana kunanenepesha[emoji8],ndo maana nakupendaga dar,huku kwetu nyanda za juu shida bariidiDar kunanenepesha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tukifika Dar lile joto wiki moja tu tunanenepa na kutakata[emoji23]Sana kunanenepesha[emoji8],ndo maana nakupendaga dar,huku kwetu nyanda za juu shida bariidi
Tukifika Dar lile joto wiki moja tu tunanenepa na kutakata[emoji23]
Nyanda za juu baridi utadhani tunagandishwa kama barafu.
Hata Mimi imebidi niende kwenye browser ili nichungulie picha maana App sometimes haifungui picha.Dogoooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Me Caption yake imebdii nirudi nyuma kusubiri picha ifunguke. Nilichokuta hata robo kwa mawardat hakiingii.
Weka full nasi tumuone mtoto ritoo
HahahahaHata Mimi imebidi niende kwenye browser ili nichungulie picha maana App sometimes haifungui picha.
Nimestuka[emoji38]
[emoji23]Hata ukija nenepa kule hufikiii
Kweli kabisaTukifika Dar lile joto wiki moja tu tunanenepa na kutakata[emoji23]
Nyanda za juu baridi utadhani tunagandishwa kama barafu.
Itabidi tuanze diet aisee[emoji1787][emoji1787]
Watu wanabadilika jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe hazijaakushangaza picha zake?Hahahaha
Eti 'umestuka... Nimecheka kimbea sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]