Kuna faida kubwa kwa mtoto kuzaliwa na kulelewa na wazazi vijana...
Umri ukienda kuna baadhi ya starehe zinatoka mwilini, mfano wazee wengi in 55-65 unakuta hata simu wanazotumia watakuambia ilimradi mawasilano, japo uwezo wa kununua simu za kisasa wanao...
Kama kijana tunaelewa mtoto anapaswa kupendeza, kuna trend ya fashion flani, tunaelewa mtoto anapenda michezo, mfano toys,video games(playstation, Xbox etc)
Hongera sana hio hair cut nimeikubali sana, sisi tulikuwa tukienda saloon sheria ni moja tu, ni kipara kama wale Shaolin Monk wa China.
Nikijaaliwa kupata mtoto kama baba, nataka ale raha zote kwa kadri uwezo wangu utakapofikia, akikua hata kama sipo, asimulie na kujivunia na anikumbuke maisha yake yote pia aendeleze nilichomfunza utotoni...
I will teach him the right way to live life when he is young, so that when he is older, he will know the right way to live and conduct himself, as he was taught consistently throughout childhood...
Dogo kapendeza sana,
Teach him everything he will need to live a full life...,