B I N A M U
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 1,495
- 2,403
Uko vizuri
Kivipi?Uko vizuri
Kivipi?
Chukua 💕Nigaie hizo lips mrembo
[emoji7]Mashallah M/Mungu kakujhalia
Humu sijaona bado, wanaongea tu na ku post lips hakuna manzi wa kunistua hapa, kama yupo si ajitokeze, kama pisi yangu ya kawaida si wajitokeze waniabishe hahahaahhhEasy mkuu demu wako wa kawaida take a pill chill kawaaaaaida kawaida
mtu chake siku hizi simu yako haina herufi za kuumba sentensi.👎👎
Tulia wewe, mashemeji zangu wa jf kazi kutuwekea visigino vya miguu,masikio na midomo, miguu hata mimi ninayo tunataka kuona contents a.k.a yaliyomo, wanifunge mdomo. kuna mmoja kajaribu lakini amepigwa k.o.Basi code bado zinsumbua
depal mambo .....pole kwa kipigo na mimi najipa pole sanaSimba ka'sup, Yanga ame'disco [emoji16] geraldincredible
[emoji38]Tulia wewe, mashemeji zangu wa jf kazi kutuwekea visigino vya miguu,masikio na midomo, miguu hata mimi ninayo tunataka kuona contents a.k.a yaliyomo, wanifunge mdomo. kuna mmoja kajaribu lakini amepigwa k.o.
Sana kwa kweli,tunatakiwa kuifurahia kila pumzi Mungu aliyotujalia doesn't matter what's going on in your life.Maisha mafupi baby, ukikunja kunja sura utazeeka vibaya [emoji41][emoji1787]
#beerTamu
View attachment 1945057
[emoji38][emoji38] mkuu cheka kimya kimya basi watakununia[emoji38]
........
Bas sawa ndugu [emoji2][emoji38][emoji38] mkuu cheka kimya kimya basi watakununia
Tuwekee bhana,tupo na uchovu tufrahi kidogo[emoji38][emoji38] mkuu cheka kimya kimya basi watakununia
Tuwekee bhana,tupo na uchovu tufrahi kidogo
acha mali kauli wewe , hilo ndilo tatizo la wabongo mnaongea sana vitendo zero, nina silaha za maangamizi nikiweka hapa mashemeji wanapotea.Kawaida sana
Humu sijaona bado, wanaongea tu na ku post lips hakuna manzi wa kunistua hapa, kama yupo si ajitokeze, kama pisi yangu ya kawaida si wajitokeze waniabishe hahahaahhh
watoto wa humu kazi kuweka lips tu, lips hata sokwe mtu anazo