Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Hahaha malizia huo wimbo wako.
NimemalizaHahaha malizia huo wimbo wako.

Ngatele une
word.Alafu generation yenu na nyingine zilizopita ndo wamekuwa walimu basi tabu tupu!!!😬😬😬 Utadhani nywele ndo hu-determine maendeleo ya mtoto shule 😏😏
Tukirudi kwako...I LIKE YOUR PERSPECTIVE. 👊🏾👊🏾👊🏾
Kuna vitu vingine hata sio gharama kufanya/kumfanyia mtoto...ila ile mentality ya "mi sikuwa nacho, mtoto cha nini" ndo inayotuharibu wengi. Tunaishia kuwa wabinafsi bila sababu za msingi. So yeahhh....as long as kitu ni kizuri kwa mtoto (hakimdhuru kwa namna yoyote ile) na uwezo wa kumpatia ufanye hivyo muda.
Kama waswahili wanavyosema...."Atakushukuru baadae!"
Nikaribishe kwenye jopo la Vijana wa Hovyo kwanza 🙂Kazi nzurii.....sasa naomba tubariki na miguu yako mizurii
😁😁😁Hahahaha yani muoshaji hapo hana kazi kubwa
Hahahaha leta handle yako kwanza tukakuinueNikaribishe kwenye jopo la Vijana wa Hovyo kwanza![]()
My uncle mnyoe kama pogba
namuanda kuwa mwanasoka boraHii ni kuku yako, unafaidi ila ongezea matunzo
Tupia nyingine,tumuone wifi yetu wa selfikaAmekula ban, so namuwakilisha,

Mie pia napenda kushona vitenge kwa sanaAsantee
Mimi ni mdau mkubwa nguo za vitenge

Kwahiyo mkuu ndiyo umeweka picha mpaka network imekata jf, hebu irudiwe kuna wengine tulikua mbali na vilongalonga vyetuTupia nyingine,tumuone wifi yetu wa selfika![]()
Hosanna tafsiri yake ni nyumba ya ibada right?
You mean my gf or?Tupia nyingine,tumuone wifi yetu wa selfika![]()